MDAU POPOTE ULIPO TUMA PICHA NA HABARI KWA E-mail:  antonysiame74@yahoo.com

Monday, August 6, 2012

YANGA YATINGA BUNGENI MJINI DODOMA

 Kocha Mkuu wa Yanga, Tom Saintfiet na Kocha msaidizi, Felix Minziro na wachezaji wakiingia katika Ukumbi wa Bunge mjini Dodoma
 Wachezaji wa Yanga wakiingia katika Ukumbi wa Bunge mjini Dodoma
 Wachezaji wa Yanga wakiwa Ukumbini Bungeni

 Wachezaji wakiwa katika Picha ya pamoja na waziri Mkuu, Mizengo Pinda nje ya Ukumbi wa Bungemjini Dodoma
 Naibu Waziri, Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Amos Makalla akiwa na wachezaji wa Yanga, Kelvin Yondani (kulia) na Athumain Idd (CHUJI)

No comments:

Post a Comment