MDAU POPOTE ULIPO TUMA PICHA NA HABARI KWA E-mail:  antonysiame74@yahoo.com

Monday, October 22, 2012

Kiongozi wa Umasho afikishwa Mhakamani Zanzibar

 Kiongozi wa Jumuiya ya UAMSHO Shekh Farid Hadi Ahmed, akishuka kwenye gari la Polisi kuelekea Mahakama ya Mwanakwerekwe kwenda kusomewa mashtaka  yanayomkabili ikiwemo la kusababisha fujo na uchochezi.





Gari la Polisi la pili ambalo liliwachukuwa Viongozi wa Jumuiya ya UAMSHO ambao walishitakiwa kwa makosa ya kufanya fujo na uchochezi likiwa linasindikizwa na magari ya Polisi kwenda Mahakama ya Wilaya ya Mwanakwerekwe.







Askari wa kikosi cha kutuliza ghasia wakiwa wanaimarisha usalama katika eneo la Mahakama ya Wilaya Mwanakwerekwe ambapo Viongozi wa Jumuiya ya UAMSHO walipelekwa kwenda kusomewa mashitaka yao.




No comments:

Post a Comment