Mashabiki wa Bukoba Veterani waliosafiri kutoka mkaoni Kagera hadi nchini Uganda kwenda kuishangilia Kilimanjaro Stars wakati wa mchezo dhidi ya Sudani uliochezwa katika Uwanja wa Mandela nchini Uganda
Mashabiki wa Kilimanjaro Stars wakionyesha alama ya kuchinja baada ya Sudan kukbali kipigo cha goli 2-0
Amri Kiemba akiwachambua wachezaji wa Sudani
Mrisho Ngassa na beki wa timu ya Sudan, Faris Abdallah wakiwania mpira
Mashabiki wa Kilimanjaro Stars wakishangilia
No comments:
Post a Comment