Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM kupitia Wialya ya Bagamoyo mkoani Pwani, Ridhiwani Kikwete na Mkurugenzi wa Idara Habari (MAELEZO), Asah Mwambene ni miongoni mwa Wajumbe waalikwa kwenye Mkutano Mkuu wa Chama cha waandishi wa habari za Michezo (TASWA) utakaofanyika mjini Bagamoyo kwenye Hotel ya Kilomo ViewResort kuanzia tarehe 28 Desemba, taarifa hizo ni kwa mujibu wa Katibu Mkuu wa Chama hicho Amir Mhando alizozisambaza kwa vyombo vya habari leo
No comments:
Post a Comment