Naibu Waziri, Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Amos Makalla akizungumza na wasanii alipokutana nao katika Ukumbi wa Wizara hiyo jijini Dar es Salaam leo
Naibu Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Amos Makalla (kulia) akizungumza na mwigizaji, Ray baada ya Mkutano na wasanii leo jiji Dar es Salaam
Naibu Waziri wa Habari, Vijana Utamaduni na Michezo, Amos Makalla akiwa na baadhi ya wasanii
Naibu Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Amos Makalla(kulia) akiwa na msanii Chemndugwao
Mwimbaji wa nyimbo za Injili Bahati Bukuku, akizungumza wakati wa Mkutano na Naibu Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Amos Makalla, jijini Dar es Salaam leo
Msanii JB akizungumza wakati wa Mkutano huo leo jijini, Dar es Salaam
No comments:
Post a Comment