Baadhi ya wake wa mabalozi
wanaowakilisha nchi zao Tnzania wakisubiri kuanza kwa hafla ya kuukaribisha mwaka
mpya2013 katika viwanja vya Ikulu jjijini Dsm Jan 15,2013 iliyoandaliwa na Mke
wa Rais Mama Salma Kikwete
Mke wa Makamu wa Rais Mama Asha Bilal (kushoto)akiwa na mke wa Waziri Mkuu, Mizengo Pinda wakati wa hafala hiyo
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akizungumza wakati wa hafla hiyo
No comments:
Post a Comment