MDAU POPOTE ULIPO TUMA PICHA NA HABARI KWA E-mail:  antonysiame74@yahoo.com

Monday, January 21, 2013

Mashindano ya Kikapu ya Kanda ya tano Afrika yafunguliwa

Mchezaji wa timu ya kikapu ya, Kenya Pority Auma akimiliki mpira mbele ya wachezaji wa tanzania wakati wa ufunguzi wa mashindano ya kanda tano Afrika yaliyozinduliwa Dar es salaam jana kenya ilishinda  74 kwa 32
Mchezaji Gerald Baru wa Tanzania akimtoka Maunga Henry wa Uganda kwenye mchezzo wa kikapu wa kanda ya tano uliochezwa uwanja wa ndani wa Taifa jijini Dar es salaam jana jioni

No comments:

Post a Comment