MDAU POPOTE ULIPO TUMA PICHA NA HABARI KWA E-mail:  antonysiame74@yahoo.com

Friday, January 4, 2013

Rais Kikwete ashiriki mazishi ya Sajuki


Msanii wa vichekesho, maarufu Joti (katikati) akielekea katika makaburi ya Kisutu Dar es Salaam kushiriki mazishi ya Sajuki

Huu ndiyo mnyukano wa kupiga picha kwenye mazishi ya msanii, Juma Kilowoko ulionyokuwa yaliyofanyika katika Makaburi ya Kisutu Dar es Salaam leo



Katika hali ya kushangaza Dada mmoja alitaka kwenda kushuhudia mazishi ya msanii, Juma Kilowoko (Sajuki) yaliyokuwa yanafanyika katika makaburi ya Kisutu ingali mila na tamaduni za Dini ya Kiislamu haziruhusu mwanamke kwenda kwenye amzishi, hapa anaonekana kwa mbali akipigwa picha baada ya kanga yake kuanguka aliyokuwa ameivaa
 Banana Zoro akiwa ni miongozi mwa waombolezaji walioshiriki mazishi ya Sajuki
 Mwanadada aliyetaka kushuhudia mazishi ya msanii Sajuki akielekezwa
 Profesa J akielekea kwenye makaburi ya Kisutu

No comments:

Post a Comment