MDAU POPOTE ULIPO TUMA PICHA NA HABARI KWA E-mail:  antonysiame74@yahoo.com

Friday, February 15, 2013

Polisi yafanikiwa kuwadhibiti waliotaka kuandamana Dar



Baadhi ya waislamu waliotaka kuandamana kwenda Ofisi za Mkurugenzi wa Mashitaka (DPP) kwa ajili ya kushinikiza kuachiwa huru kwa, Ponda Issa Ponda wakiwa wamekamatwa tayari kupelekwa mahabusu.


Askari Polisi wakiwa wameweka ulinzi mkali kwenye makutano ya Barabara ya Samora na Ohio, Dar es Salaam


Askari polisi wakilandalanda na Pikipiki kulinda usalama.



Baadhi ya waislamu waliotaka kuandamana wakiwa ndani ya gari baada ya kukamatwa.


Mmoja wa waisalmu waliotaka kuandamana akiwa amekamatwa

No comments:

Post a Comment