Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiweka saini Mpango wa Umoja wa Mataifa wa
Amani, Usalama na Ushirikiano katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
wakati wa hafla hiyo maal: umu iliyofanyika makao makuu ya Umoja wa
Afrika mjini Addis Ababa, Ethiopia, leo Februari 24, 201
Katibu
Mkuu wa Umoja wa Mataifa Mhe Ban Ki-moon akiweka saini Mpango wa Umoja
wa Mataifa wa Amani, Usalama na Ushirikiano katika Jamhuri ya
Kidemokrasia ya Kongo wakati wa hafla hiyo maalumu iliyofanyika makao
makuu ya Umoja wa Afrika mjini Addis Ababa, Ethiopia, leo Februari 24,
2013
Viongozi walioshiriki utiaji saini huo wakiwa kwenye Picha ya pamoja
Waziri
wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mhe Shamsi Vuai Nahodha pamoja na
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe Mahadhi
Juma Maalim na wajumbe wengine wa ujumbe wa Tanzania wakati wa uwekaji
akiweka saini Mpango wa Umoja wa Mataifa wa Amani, Usalama na
Ushirikiano katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wakati wa hafla hiyo
maalumu iliyofanyika makao makuu ya Umoja wa Afrika mjini Addis Ababa,
Ethiopia, leo Februari 4, 2013
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akipongezwa na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa
Bw. Ban Ki-moon kwa kuwa mmoja wa viongozi wa bara la Afrika walio
mstari wa mbele kusimamia amani baada uwekaji akiweka saini Mpango wa
Umoja wa Mataifa wa Amani, Usalama na Ushirikiano katika Jamhuri ya
Kidemokrasia ya Kongo wakati wa hafla hiyo maalumu iliyofanyika makao
makuu ya Umoja wa Afrika mjini Addis Ababa, Ethiopia, leo Februari 4,
2013
No comments:
Post a Comment