Waumini wa Dini ya Kikiristo wa Kanisa katoliki na wananchi wakifukia udongo katika kaburi la marehemu Padri
Evaristus Gabriel Mushi,aliyezikwa leo katika viwanja vya kanisa Katoliki la
Kitope,Wilaya ya Kaskazini B Unguja,ambae alifariki Jumapili Iliyopita kwa kupigwa risasi na watu wasiojukanwa.
Kitope,Wilaya ya Kaskazini B Unguja,ambae alifariki Jumapili Iliyopita kwa kupigwa risasi na watu wasiojukanwa.
Rais wa Zanbzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt,Ali Mohamed Shein,(katikati) akifuatana na Askofu wa Kanisa Katoliki Jimbo la Zanzibar Augustino Shao, wakielekea katika Mazishi ya Padri Evaristus Gabriel Mushi,aliyezikwa katika viwanja vya kanisa la Kitope,Wilaya ya Kaskazini B Unguja
Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki Jimbo la Tanga Antony Banzi,akiongoza sala wakati wa mazishi ya Marehemu Padri Evaristus Gabriel Mushi,aliyekufa kwa kupigwa risasi Jumapili
Iliyopita na kuzikwa leo katika viwanja vya kanisa la Kitope,Wilaya yam kaskazini B Unguja leo
Iliyopita na kuzikwa leo katika viwanja vya kanisa la Kitope,Wilaya yam kaskazini B Unguja leo
Vijana waumini wa Dini ya Kikiristo wakiteremsha jeneza lenye mwili wa marehemu Padri Evaristus Gabriel Mushi,katika kaburi alilozikwa leo katika viwanja vya kanisa la Katoliki la Kitope,Wilaya ya Kaskazini B Unguja,marehemu alifariki
kwa kupigwa risasi Jumapili iliyopita na watu wasiojulikanwa
Askofu wa Kanisa Katoliki Jimbo la Zanzibar Augustino Shao, akitia udongo katika kaburi la Marehemu Padri Evaristus Gabriel Mushi,aliyezikwa leo katika viwanja vya kanisa Katoliki la Kitope,Wilaya ya Kaskazini B Unguja
Rais wa Zanbzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt,Ali Mohamed Shein,(katikati) akitia udongo katika kaburi la Marehemu Padri Evaristus Gabriel Mushi,wakati wa mazishi yake yaliyofanyika leo katika viwanja vya kanisa la Kitope,Wilaya ya Kaskazini B Unguja.
Waziri wa Mambo
ya Ndani ya Nchi Emanuel Nchimbi ,akitia udongo katika kaburi la Marehemu Padri Evaristus Gabriel Mushi,wakati wa mazishi yake yaliyofanyika leo katika viwanja vya kanisa la Kitope,Wilaya ya Kaskazini B Unguja
Waumini wa Dini ya Kikiristo wa Kanisa katoliki na wananchi wakifukia udongo katika kaburi la marehemu Padri
Evaristus Gabriel Mushi,aliyezikwa leo katika viwanja vya kanisa Katoliki la Kitope,Wilaya ya Kaskazini B Unguja,ambae alifariki Jumapili Iliyopita kwa kupigwa risasi na watu wasiojukanwa
Rais wa Zanbzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt,Ali Mohamed Shein,(katikati) akiweka shada la mauwa katika kaburi la Marehemu Padri Evaristus Gabriel Mushi,wakati wa mazishi yake yaliyofanyika leo
katika viwanja vya kanisa la Kitope,Wilaya ya Kaskazini B Unguja
No comments:
Post a Comment