Hili ndilo jengo la Mikutano la Julius Nyerere lililojengwa jijini Dar es Salaam kwa msaada wa Serikali ya watu wa China. Ukumbi huo unawezo wa kuchukuwa watu 1800
Rais Jakaya Kikwete na Rais wa China, Xi Jinping wakiiangali mbalimbali za kumbukumbu zilizowekwa kwenye jengo la Mikutano la Julius Nyerere kabla ya kukabidhiwa rasmi
Mandhari ya ukumbi ulivyo ndani hao ni baadhi ya wageni waalikwa wakiwemo wabunge waliohudhuria katika hafla ya kukabidhiwa kwa Jengo hilo
Rais wa China, Xi Jinping akiwapungia mkono wageni waliohudhuria katika sherehe za kukabidhiwa kwa Jengo hilo
Wasanii wakitumbuiza wakati wa hafla hiyo
No comments:
Post a Comment