Ofisa Utumishi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano (TCRA)Kanda ya
Mashariki, Esuvatie Masinga akiMgawia Hawa
Selemani Kipeperushi kinachoonyesha
shughuri zinazofanywa na Mamlaka hiyo wakati wa Semina ya majukumu ya Mamlaka
ya Mawasiliano Kanda ya Mashariki
iliyofanyika katika Wilaya ya Mafia kwa kuwashirikisha viongozi wa mbalimbali kutoka Wilaya hiyo .
Mkuu wa Wilaya ya Mafia Sauda Mtondoo akitoa hotuba wakati
wa Semina ya majukumu ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Kanda ya
Mashariki iliyofanyika katika Wilaya hiyo ikiwa na
lengo la kutoa elimu kwa wannchi
wa Wilaya hiyo juu ya Haki na wajibu wa watumiaji wa huduma za Mawasiliano,
katikati ni Mkurugenzi wa Watumiaji na watoa huduma za Mawasiliano Dk. Raymond
Mfungahema, (Kulia ) Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Mafia, Mohamed
Kimbule.
. Mkuu wa Wilaya ya Mafia Sauda Mtondoo(
kulia)akionyeshwa namna ya kutambua
simu feki na Mkurugenzi wa watumiaji na watoa huduma za Mawasiliano Dk. Raymond
Mfungahema wakati wa semina ya majukumu ya Mamlaka ya Mawasiliano Kanda ya Mashariki iliyofanyika katika Wilaya
ya Mafia mkoa wa Pwani iliyowashirikisha viongozi mbalimbali.
Mkuu
wa Wilaya ya Mafia Sauda Mtondoo, akiangalia simu halisi aina ya Nokia ambayo ni
oligino wakati wa semina ya Majukumu ya Mamlaka ya Mawasiliano kanda ya
Mashariki iliyofanyika katika Wilaya hiyo
anaye shuhudia ni Mkurugenzi wa
Watumiaji na watoa huduma za Mawasiliano Dk. Raymond Mfungahema.
Mkurugenzi wa watumiaji na watoa huduma za Mawasiliano Dk.
Raymond Mfungahema akitoa mada ya kazi
za Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA)
kwa viongozi mbalimbali wa Halmashauri ya Wilaya ya Mfia waliohudhuria
katika Semina ya Majukumu ya Mamlaka ya Mawasiliano Kanda ya Masharaiki
iliyofanyika katika Wilaya hiyo.
Ofisa
Utumishi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano (TCRA) Kanda ya Mashariki Esuvatie
Masinga akitoa mada juu ya kujikinga na wizi wa kutumia mitandao kwa washiriki wa Semina ya Majukumu ya
Mkuu wa Wilaya ya
Mafia Sauda Mtondoo, akimkabidhi zawadi ya simu aina ya Nokia Hawa Sulemani baada ya kujishindia kutokana
na kujibu swali aliloulizwa wakati wa Semina ya Majukumu ya Mamlaka ya
Mawasiliano Kanda ya Mashariki
iliyofanyika katika Wilaya ya Mafia mkoani Pwani kwa kuwashirikisha viongozi wa
mbalimbali. Katikati ni Mkurugenzi wa Watumiaji na Watoa Huduma za Mawasiliano
Dk. Raymond Mfungahema akishuhudia.
No comments:
Post a Comment