Wadau wanauliza kutokana na kutangazwa kwa kupanda nauli za Daladala na Mabasi ya kwenda mikaoni kulikotangazwa na Mamlaka ya Udhibiti wa Maji na Nchi Kavu (SUMATRA) hakutakuwa na shida ya usafiri kama kipindi hiki ambapo abiria anaweza kukaa zaidi ya saa moja akisubiri usafiri wa Daladala, haitakuwa na maana nauli ipandishwe hali ipo vilevile bila kuboresha huduma yenyewe
Baadhi ya wakazi wa jijni wakisubiri usafiri jana katika maeneo ya kituo cha Akiba mtaa wa Bibi Titi.
Baadhi ya wakazi jijini Dar es Salaam wakisubiri usafiri katika maeneo ya shule ya Sekondari ya Azania.
hawa ni baadhi ya wakazi wa jijini Dar es Salaam wakitembea kwa mguu baada ya kukosa usafiri wa Daladala. Picha zote na Mwanakombo Jumaa (MAELEZO)
No comments:
Post a Comment