Mkuu wa Kitengo Cha Ukaguzi wa Mikataba katika Ofisi ya Waziri Mkuu Bw.
Steven H. Issack alipotembelea banda la wizara ya fedha kutaka kupata ufafanuzi
juu ya uanzishwaji wa mikopo kwa watumishi wa umma kutoka kwa Mhasibu Mkuu wa
Serikali, kutoka kushoto ni Mkuu wa
Kitengo cha Mikopo Bi. Christine Ngonyani na kulia ni Bi. Miriam Mnzava Nchini
Ghana.
Mkuu wa Kitengo cha Mikopo wa Wizara ya Fedha kutoka kwa Mhasibu Mkuu wa
Serikali Bi. Christine akiwaeleza wananchi wa Ghana jinsi idara ya Mhasibu Mkuu wa Serikali inavyosaidia
Watumishi wa Umma katika kupata Mikopo.
Washiriki kutoka Nchi mbalimbali walipotembelea katika makumbusho ya
taifa ya Ghana.
No comments:
Post a Comment