MDAU POPOTE ULIPO TUMA PICHA NA HABARI KWA E-mail:  antonysiame74@yahoo.com

Sunday, June 2, 2013

NSSF MEDIA ALL STARS WANAUME WAIFUNGA BUNGE SPORTS CLUB 1-0

 Mshambuliaji wa timu ya NSSF All Media Stars, Mbozi Katala akigangwa baada ya kupata maumivu ya Misuli wakati wa mchezo wa kirafiki dhidi ya Bunge Sports Club uliochezwa kwenye Uwanja wa Jamhuri Mjini Dodoma. NSS All Media Stars ilishinda 1-0 na kufanikiwa kunyakuwa kikombe
mMganga wa timu ya Bunge Sports Club, Mbunge wa Sikonge, Said Mkumba akikagua Uwanja kabla ya mmchezo wa kirafiki dhidi ya NSSF Media All Stars

No comments:

Post a Comment