MDAU POPOTE ULIPO TUMA PICHA NA HABARI KWA E-mail:  antonysiame74@yahoo.com

Monday, October 28, 2013

EAST AFRICAN BUSINES AND MEDIA TRAINING INSTITUTE SCHOOL OF JOURNALISM AND BRODCASTING NA WADAU WAKE WALIVYOENDESHA MDAHALO WA RASIMU YA KATIBA KATIKA HOTEL YA SERENA JIJINI DAR ES SALAAM

Mwendeshaji wa Mdahalo huo, Rosemary Mwakitwange, akizungumza wakati wa Mdahalo wa Rasimu ya Katiba wenye kauli mbiu inayoitwa; TANZANIA TUNAYOITAKA; THE TANZANIA WE WANT; uliofanyika kwenye Hotel ya Serena jijini Dar es Salaam, jana  Jumapili.
 Waandahi wa Mdahalo wakijipanga kabla ya kuanza kwa mdahalo huo.
Baadhi ya washiriki walioshiriki kwenye mdahalo wa Rasimu ya Katiba; TANZANIA TUNAYOITAKA wakisikiliza kwa makini.
 Baadhi ya washiriki walioshiriki kwenye mdahalo wa Rasimu ya Katiba; TANZANIA TUNAYOITAKA wakisikiliza kwa makini.

 Mmoja wa wazungumzaji kwenye Mdahalo wa Rasimu ya Katiba ulioandaliwa na East African and Media Training Insititute School of Journalism anda Broadcasting na wadau wake ambaye pia ni Mbunge wa Singida Mashariki (CHADEMA), Tundu Lissu akionyesha Katiba ya Zanzibar wakati alipokuwa anafafanua baadhi ya mambo kuhusu  Muungano.
 Tundu Lissu, akionyesha katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
 Tundu Lisuu, akisisitza jambo wakati wa Mdahalo huo. Kulia ni Mwanazuoni kutoka Zanzibar, ambaye naye alikuwa ni mmoja wa wazungumza wakuu, Dk. Aley Soud Nassor.
 Mmoja wa washiriki wa Mdahalo huo akitoa mawazo yake.
 Dk. Aley Soud Nassor kutoka Zanzibar, akisisitiza jambo wakati wa mdahalo wa Rasimu ya Katiba ulioandaliwa na East African and Media Training Insititute School of Journalism and Broadcasting na wadau wake.
 Mbunge wa Zamani wa Jimbo la Lupa mkoani Mbeya na aliyewahi kuwa kwenye kundi la G55, Njelu Kasaka, akizungumza na kutoa mawazo yake wakati wa Mdahalo huo.
Mwendeshaji Mkuu wa Mdahalo huo, Rosemary Mwakitwange, (kulia mbele waliokaa) akizungumza. wengine ni wazungumzaji, Tundu Lissu (katikati) na Dk Aley Soud Nassor (kushoto) na baadhi ya washiriki wa Mdahalo huo wakifuatilia kwa makini
 Njelu kasaka akizungumza
 Mmoja wa washiriki akitoa mawazo yake kwenye Mdahalo
Mmoja wa washiriki akitoa mawazo yake kwenye Mdahalo
 Mmoja wa washiriki akitoa mawazo yake kwenye Mdahalo
 Mmoja wa washiriki akitoa mawazo yake kwenye Mdahalo
Mtangazaji wa Kituo cha ITV kilichokuwa kinarusha matangazo moja kwa moja ya Mdahalo huo, Alfred Masako (katikati) wakijadiliana jambo kabla ya kuanza kurusha matangazo hayo ya Mdahalo wa Rasimu ya Katiba uliofanyika jana jumapili kwenye Hotel ya Serena jijini Dar es Salaam. Picha zote kwa hisani ya www.amanitanzania.blogspot.com

1 comment: