MDAU POPOTE ULIPO TUMA PICHA NA HABARI KWA E-mail:  antonysiame74@yahoo.com

Tuesday, October 29, 2013

YANGA YAISHUSHA SIMBA HADI NAFASI YA NNE

 Wachezaji wa Yanga wakishangili bao la kwanza lililofungwa na Mbuyu Twite

Mabao matatu yaliyofungwa na Mbuyu Twite, Khamis Kiiza (Diego) Didie Kavumbagu yalitosha kuishusha Simba kutoka nafasi ya pili hadi ya nne iliyokuwa inashikilia baada ya kufungwa na Azam FC wakati wa mchezo uliochezwa jana.

Kwa hivi sasa timu ya Yanga inashika nafasi ya tatu baada ya kuichapa Mgambo Jkt mabao 3-0 wakati wa mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliochezwa kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam leo
 Azam FC wanaongoza ligi wakiwa na Pointi 23 sawa na Mbeya City lakini wakitofautiana kwa magoli ya kufunga  Azam FC wakiwa na magoli mengi ya kufunga.
  
Nayo Mbeya city iliweza kuifunga Tanzania Prison mabao 2-0 kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara  uliochezwa jini Mbeya





 


No comments:

Post a Comment