MDAU POPOTE ULIPO TUMA PICHA NA HABARI KWA E-mail:  antonysiame74@yahoo.com

Monday, February 17, 2014

MFUKO WA USIMAMIZI WA MIFUKO YA JAMII (SSRA) WATOA ELIMU KWA WANACHAMA MKOANI DODOMA

Baadhi ya wanachama wa mifuko ya Jamii  kutoka Shirikisho la Vyama vya wafanyakazi kanda ya Kati wakiimba wimbo wa mshikamano kabla ya kufunguliwa kwa semina iliyoendesha na Mfuko wa usimamizi wa mifuko ya Jamii (SSRA) Mjini Dodoma

Katibu Mkuu wa Shirikisho la Vyama vya wafanyakazi (TUCTA), Nickoluas Mgaya akizungumza wakati wa ufunguzi wa Semina hiyo iliyofanyika mkoani Dodoma

Wanachama wa Mifuko ya Jamii kutoka Vyama vya Wafanyakazi wakiwa katika picha ya pamoja

Meneja Uhusiano na Uhamasishaji wa Mfuko wa Usimamizi wa Mifuko ya Jamii (SSRA), Sarah Kibonde
akizungumza na waandishi wa habari baada ya kufunguliwa kwa Semina hiyo mjini Dodoma

No comments:

Post a Comment