MDAU POPOTE ULIPO TUMA PICHA NA HABARI KWA E-mail:  antonysiame74@yahoo.com

Tuesday, February 4, 2014

SIMBA IPO TAYARI MKOANI MOROGORO KWA KUMENYANA NA MTIBWA SUGAR

Timu ya Simba yenye maskani Mtaa wa Msimbazi jijini, Dar es Salaam kesho inaendeleza kampeni yake ya kuwaania ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara kwa moja ya mechi ngumu kati ya tatu ambazo ni kipingo kikubwa kwa timu hiyo endapo itaibuka msindi wa mechi hizo tatu ianweza kujiweka katika mazingira magumu kwa kuwania taji la Ligi Kuu Tanzania Bara kwa mwaka 2013/14

Timu hiyo itapambana na timu ya wakata Miwa,Mtibwa Sugar ya Morogoro kwenye mchezo utaochezwa kwenye Dimba la Jamhuri mkoani Morogoro
Kocha Mkuu wa timu hiyo, Logarusic ameshasema kwamba mechi hiyo haitakuwa rahisi maana Mtibwa siyo timu ndogo  

No comments:

Post a Comment