MDAU POPOTE ULIPO TUMA PICHA NA HABARI KWA E-mail:  antonysiame74@yahoo.com

Thursday, February 13, 2014

WAJUMBE WA BUNGE LA MAALUM LA KATIBA WAAANZA KUNOLEWA

Baadhi ya wajumbe wa  Bunge maalum la Katiba wakiwa katika Mkutano wa mafunzo wa sikuu mbili ulioanza jini Dar es Salaam na kuandaliwa na Jukwa  la Katiba Tanzania

Mmoja wa wajumbe wapya wa Bunge la Katiba akipitia Tangazo la Rasimu ya Katiba wakati wa Mkutano wa maandalizi/mafunzo

Momoja wa wajumbe wapya wa Bunge la Katiba, Mchungaji, Christopher Mtikila akisikiliza kwa makini iliyokuwa inawasilishwa na Mwenyekiti wa kwanza wa kIgoda cha Mwalimu, Profesa Issa Shivji

Mjumbe mpya wa Bunge la Katiba Hashim Lungwe

Profesa Shivji akiwasilisha maada wakati wa Mkutano huo

No comments:

Post a Comment