Makipa wa Tanzania Eleven, Peter Manyika na Mohamed Mwameja aliyedaka mpira wakiendelea na mazoezi ya kujianda na mchezo dhidi ya wachezaji waliowahi kuichezea Real Madrid ya Hispani utakaochezwa katika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam Jumamosi
Baadhi ya wachezaji wa Tanzania Eleven wakiwa atika mazoezi katika Uwanja wa Karume, Dar es Salaam
No comments:
Post a Comment