MDAU POPOTE ULIPO TUMA PICHA NA HABARI KWA E-mail:  antonysiame74@yahoo.com

Saturday, October 11, 2014

KINANA AUNGURUMA MKOANI IRINGA

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia maelfu ya wananchi katika mkutano wake wa hadhara uliofanyika leo, Oktoba 11, 2014, kwenye Uwanja wa Mwembetogwa, Iringa mjini, mwishono mwa ziara yake mkoani humo. (Picha na Bashir Nkoromo)

No comments:

Post a Comment