Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amefanya uteuzi wa wakuu wa Mikoa 26 ya
Tanzania Bara, ambapo kati yao 13 ni wapya, 7 wamebakizwa katika vituo vyao vya
kazi, 5 wamehamishwa vituo vya kazi na 1 amepangiwa Mkoa Mpya wa Songwe.
Uteuzi huo umetangazwa na Kaimu Katibu Mkuu
Kiongozi, Mhandisi Mussa Ibrahim Iyombe leo tarehe 13 Machi, 2016 Ikulu Jijini
Dar es salaamWakuu wa Mikoa walioteuliwa ni kama ifuatavyo
1. Mh. Paul Makonda - Mkuu wa
Mkoa wa Dar es Salaam.
2. Meja Jenerali Mstaafu Ezekiel Elias Kyunga - Mkuu
wa Mkoa wa Geita.
3. Meja Jenerali Mstaafu Salum Mustafa Kijuu - Mkuu
wa Mkoa wa Kagera.
4. Meja Jenerali Mstaafu Raphael Muhuga - Mkuu
wa Mkoa wa Katavi.
5. Brigedia Jeneral Mstaafu Emmanuel Maganga - Mkuu
wa Mkoa wa Kigoma.
6. Mh. Godfrey Zambi - Mkuu
wa Mkoa wa Lindi.
7. Dkt. Steven Kebwe - Mkuu
wa Mkoa wa Morogoro.
8. Kamishna Mstaafu wa Polisi Zerote Steven - Mkuu
wa Mkoa wa Rukwa.
9. Mh. Anna Malecela Kilango - Mkuu
wa Mkoa wa Shinyanga.
10.
Mhandisi Methew Mtigumwe - Mkuu wa Mkoa
wa Singida.
Mh. Antony Mataka - Mkuu
wa Mkoa wa Simiyu.
11.
Mh. Aggrey Mwanri - Mkuu wa Mkoa wa
Tabora.
12.
Mh. Martine Shigela - Mkuu wa Mkoa wa
Tanga.
13.
Mh.
Jordan Mungire Rugimbana - Mkuu wa Mkoa Dodoma.
14.
Mh. Said
Meck Sadick - Mkuu wa Mkoa Kilimanjaro.
15.
Mh.
Magesa Mulongo - Mkuu wa Mkoa Mara.
16.
Mh. Amos
Gabriel Makalla - Mkuu wa Mkoa Mbeya.
17.
Mh. John
Vianey Mongella - Mkuu wa Mkoa Mwanza.
18.
Mh.
Daudi Felix Ntibenda - Mkuu wa Mkoa wa Arusha.
19.
Mh.
Amina Juma Masenza - Mkuu wa Mkoa wa Iringa.
20.
Mh. Joel
Nkaya Bendera - Mkuu wa Mkoa wa Manyara.
21.
Mh.
Halima Omary Dendegu - Mkuu wa Mkoa wa Mtwara.
22.
Dkt.
Rehema Nchimbi - Mkuu wa Mkoa wa Njombe.
23.
Mhandisi
Evarist Ndikilo - Mkuu wa Mkoa wa Pwani.
24.
Mh. Said
Thabit Mwambungu - Mkuu wa Mkoa Ruvuma.
Luteni Mstaafu Chiku Galawa - Mkuu
wa Mkoa wa Songwe
No comments:
Post a Comment