MDAU POPOTE ULIPO TUMA PICHA NA HABARI KWA E-mail:  antonysiame74@yahoo.com

Tuesday, October 31, 2017

Waziri wa Elimu,Sayansi na Teknolojia, Profesa Joyce Ndalichako ahudhuria Mkutano Mkuu wa 39 wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Elimu, Sayansi, Utamaduni, Habari na Mawasiliano, UNESCO.



Waziri wa Elimu,Sayansi na Teknolojia, Profesa Joyce Ndalichako akisalimiana na Balozi wa Tanzania mjini Paris nchini Ufaransa Samwel Shelukindo muda mfupi baada ya kufunguliwa kwa Mkutano Mkuu wa 39 wa Shirika la Umoja wa Mataifa  linaloshughulikia Elimu, Sayansi, Utamaduni, Habari na Mawasiliano, UNESCO.

No comments:

Post a Comment