MDAU POPOTE ULIPO TUMA PICHA NA HABARI KWA E-mail:  antonysiame74@yahoo.com

Thursday, November 30, 2017

MAWAZIRI UGANDA WAVUTIWA NA UCHIMBAJI MDOGO WA DHAHABU MKOANI GEITA


Naibu Waziri wa Madini, Stanslaus Nyongo (katikati) akiwa na viongozi wa Mkoa wa Geita pamoja na mawaziri wanne wa Serikali ya Uganda baada ya Kuwasili mkoani Geita kujifunza uchimbaji mdogo
Mkuu wa Mkoa wa Geita Mhandisi Robert Gabriel wa kwanza (kulia) akiwaongoza Mawaziri kutoka Uganda kwenda kukagua shughuli za uchimbaji mdogo Lwamgasa wilayani Geita.


Mawaziri wanne  kutoka Uganda pamoja na viongozi wengine wa Wizara ya Madini na Mkoa wa Geita wakijionea shughuli za ujenzi wa Kituo cha mfano cha Serikali kinachoendelea kujengwa katika eneo la Lwangasa Wilayani Geita kwa ajili ya kutoa mafunzo kwa wachimbaji wadogo wa madini.



Naibu Waziri wa Madini  Stanslaus Nyongo akiongozana na Mawaziri kutoka Uganda pamoja na wataalamu wa Madini kukagua shughuli za uchimbaji mdogo wa madini katika mgodi wa Kadeo Lwamgasa Geita.




No comments:

Post a Comment