Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk John Pombe Magufuli
akihutubia wakati wa hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi jengo la ofisi ya
Taifa ya Takwimu mjini Dodoma
Rais Dk John Magufuli na Mwakilishi Mkazi wa Benki ya
Dunia nchini Bella Bird wakifungua
kitamba wakati wa hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi wa ujenzi wa
jengo la Ofisi ya Taifa ya Takwimu mjini Dodoma
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipeana mkono
na Mwakilishi Mkazi wa Benki ya Dunia nchini Bella Bird pamoja na Balozi
wa Canada nchini . Ian Miles na viongozi wengine wakati wa hafla ya uwekaji
wa jiwe la msingi jengo la ofisi ya Taifa ya Takwimu mjini Dodoma
Rais Dk John Magufuli akikabidhiwa Ramani ya Tanzania na Waziri wa Fedha na Mipango, Philip Mpango baada ya kuweka jiwe la Msingi ujenzi wa jengo la Ofisi za Takwimu mjini Dodoma
No comments:
Post a Comment