Bwawa la Nyumba ya Mungu, lililoko
mpakani mwa wilaya za Mwanga na Simanjiro. Hapa ndipo maji yanaposukumwa
kuelekea kwenye mashine za kufua umeme wa maji.
Kituo cha kufua umeme wa maji cha Nyumba ya Mungu, wilayani Mwanga mkoa wa Kilimanjaro. Kituo hicho kilizinduliwa mwaka 1968 na Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere na kina uwezo wa kutoa Megawati 8 za umeme.
Kaimu Meneja Uhusiano wa TANESCO, Leila
Muhaji, (kulia), na wahariri wa vyombo vya habari, wakisikiliza maelezo ya
kiufundi kutoka kwa msimamizi mkuu wa mitambo ya udhibiti umeme kituo cha kufua
umeme wa maji cha Nyumba ya Mungu mkoani Kilimanjaro
No comments:
Post a Comment