Mkurugenzi
wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI) Robert Boaz, akizungumza wakati wa
mkutano na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam kuhusiana na Jinsi Jeshi la
Polisi lilivyojipanga kuhusiana na Sikukuu za mwisho wa mwaka pamoja na kutoa wito kwa wazazi kuwa walinzi kwa
watoto. Katikati ni Kamishna wa Utawala , Fedha la Logistick, Albet Nyamhanga
na Kushoto ni Mkuu wa Kitengo cha makosa dhidi ya Maadili ya Jamii, Husein
Laisseri
Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI)
Robert Boaz, akizungumza wakati wa mkutano na waandishi wa habari jijini Dar es
Salaam kuhusiana na Jinsi Jeshi la Polisi lilivyojipanga kuhusiana na Sikukuu
za mwisho wa mwaka pamoja na kutoa wito
kwa wazazi kuwa walinzi kwa watoto.
No comments:
Post a Comment