JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
OFISI YA MAKAMU WA RAIS
Anwani ya simu: “MAKAMU” Mtaa
wa Makole,
Simu Na.: +255 026 2329006 Jengo
la LAPF,
Fax Na.: +255 026 2329007 S.L.P
2502
Barua Pepe: km@vpo.go.tz 40406
DODOMA.
TANZIA
Ofisi ya Makamu wa Rais inasikitika kutangaza kifo cha
Bi. Mary J. Lugola Mke wa Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na
Mazingira Mhe. Kangi Lugola kilichotokea
leo tarehe 01/01/2018 jijini Dar es Salaam. Taarifa zaidi na taratibu za
mazishi zitatolewa baadae.
Mungu aipumzishe roho ya Marehemu mahali pema peponi,
Amina.
Imetolewa na Ofisi
ya Makamu wa Rais,
Dodoma Tanzania.
01 Januari, 2018
No comments:
Post a Comment