Wananchi wakiwa wanasubiri daki chache ili wawezekusherehekea mwaka mpya 2018
Wananchi wakiomba maombi kabla ya kuukaribisha mwaka mpya
Wananchi wakiomba maombi kabla ya kuukaribisha mwaka mpyaWananchi wakiomba maombi kabla ya kuukaribisha mwaka mpya
Waziri wa Habari, Vijana Utamaduni Sanaa na Michezo, Dk Harrison Mwakyembe (wa pili kutoka kushoto), Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda (wa kwanza kulia) Askofu Godfrey Malasi na Kamanda wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Charles Mambosasa wakiomba maombi wakati wa mkesha wa mwaka mpya
Wananchi wakifurahia baada ya kuukaribisha mwaka mpya 2018
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda akihutubia wakati wa mkesha wa mwaka mpya katika Uwanja wa Uhuru Dar es Salaam
Wanakwaya wakiimba baada ya kuukaribisha mwaka mpya 2018
No comments:
Post a Comment