Naibu Waziri wa Wizara ya Kilimo Dkt Mary Mwanjelwa akiwasihi waumini kumuunga
mkono na kumuombea Rais Magufuli wakati akitoa salamu kwenye ibada ya Siku ya wazee
iliyofanyika katika kanisa La Huduma ya Maombezi na Uponyaji (Jesus Healing
Centre T. Ministry) lililopo katika Mtaa wa Sinde B, Kata ya Manga Jijini Mbeya
Naibu Waziri wa Wizara ya Kilimo
Dk Mary Mwanjelwa akimlisha chakula mmoja ya wazee waliohudhuria ibada
ya Siku ya Wazee
Naibu Waziri wa Wizara ya Kilimo Mhe Dk Mary Mwanjelwa(wa kwanza kulia) pamoja na
Viongozi wengine wakiongoza maombi wakati wa ibada ya Siku ya Wazee
Miongoni
mwa wazee waliohudhuria ibada ya Siku ya Wazee iliyofanyika katika kanisa La
Huduma ya Maombezi na Uponyaji (Jesus Healing Centre T. Ministry) lililopo
Katika Mtaa wa Sinde B, Kata ya Manga Jijini Mbeya
Naibu
Waziri wa Wizara ya Kilimo Mhe Dkt Mary Mwanjelwa akifanyiwa maombi na viongozi
wa dini wakati wa ibada ya Siku ya Wazee
wazee
waliohudhuria ibada ya Siku ya Wazee iliyofanyika katika kanisa La Huduma ya
Maombezi na Uponyaji (Jesus Healing Centre T. Ministry) lililopo Katika Mtaa wa
Sinde B, Kata ya Manga Jijini Mbeya wakipata chakula. Picha zote na Mathias Canal
No comments:
Post a Comment