
Mpiga Picha wa Kampuni ya Mwananchi Communication, Emmanuel Herman akisaidiwa na ndugu kuaga mwili wa mareheme mke wake, Mary Hyera aliyefariki Alhamisi na Kuzikwa katika Makaburi ya Kinonndoni siku ya jumamosi. Mungu ailaze roho ya Marehemu peponi amina.
No comments:
Post a Comment