MDAU POPOTE ULIPO TUMA PICHA NA HABARI KWA E-mail:  antonysiame74@yahoo.com

Thursday, January 14, 2010

Pinda ajibu maswali ya waandishi wa habari ya papo kwa papo

Mtoto wa Mkulima Waziri Mkuu Mizengo Kayanza Peter Pinda akizungumza na waahariri wa Vyombo vya habari ambapo aliruhusu kuulizwa swali lolote kutoka kwa wanahabri hao na kuyajibu kwa ufasaha kabisa

No comments:

Post a Comment