
katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani la Taifa, Dk. Joyce Ndalichako akitangaza matokeo ya mtihani wa Kidato cha uliofanyika mwezi wa pili mwaka huu. ambapo mwanafunzi kutoka Kibaha Sekondari ameongoza Kitaifa hii ni Shule aliyosoma Rais wetu. Dk Jakaya Kikwete.
No comments:
Post a Comment