MDAU POPOTE ULIPO TUMA PICHA NA HABARI KWA E-mail:  antonysiame74@yahoo.com

Monday, May 30, 2011

Arusha wajiandaa na Umisseta Taifa

Wachezaji wa timu ya Mansipaa ya Arusha na Jiji la Arusha wakiwania mpira wakati wa kuchagua timu ay mkoa itayowakilisha mkoa huo katika michezo ya Umisseta Taifa inayotarajia kufanyika Kibaha mkoani Pwani hivi karibuni

No comments:

Post a Comment