MDAU POPOTE ULIPO TUMA PICHA NA HABARI KWA E-mail:  antonysiame74@yahoo.com

Thursday, May 5, 2011

Ivory Coast atua Azam FC


Mchezaji wa Kimataifa kutoka Ivory Coast, Kipre Tchetche akisaini mktaba wa kuichezea timu ya Azam FC Kwa mkataba wa miaka miwili, Dar es Salaam jana. Kulia ni Katibu wa timu hiyo, Idrisa Nassor

No comments:

Post a Comment