MDAU POPOTE ULIPO TUMA PICHA NA HABARI KWA E-mail:  antonysiame74@yahoo.com

Monday, May 30, 2011

Mkuki kurushwa

Febronia Eliakim kutoka Shule ya Sekondari Endellah Wilayani Karatu mkoani Arusha akirusha Mkuki wakati kmichezo ya Umisseta mkoani Arusha ya Kutafuta timu ya luwakilisha mkoa huo katika Michezo hiyo Kitaifa inayotarajia kufanyika Kibaha mkoani Pwani

No comments:

Post a Comment