
Mkurugenzi Mtendaji wa Q and G Tanzania Limited na Wakala wa QNET, Gilda Kaindoah akizungumza muda mfupi baada ya kumalizika kwa matembezi ya hiari ya kusaidia Hospitali ya Saratani ya Ocean Road yaliyoratibiwa na Qnet Tanzania na kushirikisha makampuni na mashirika mbalimabli. Jumla Sh zaidi ya Sh Milion 50 zilipatikana na kati hizo Dola 28,000 zilitumika kununulia Jenereta la Hospitalini hapo
No comments:
Post a Comment