MDAU POPOTE ULIPO TUMA PICHA NA HABARI KWA E-mail:  antonysiame74@yahoo.com

Saturday, June 11, 2011

Michuano ya Copa Coca Cola


Waziri wa Habari, Michezo na Utamaduni, Dk Emmanuel Nchimbi akipiga mpira kuashiria ufunguzi wa michuano ya Copa Coca Cola iliyoanza katika Uwanja wa Karume Dar es Salaam. Kushoto ni Katibu wa Shirikisho la Mpira wa miguu nchini(TFF) ,Angetile Osiah
,


No comments:

Post a Comment