MDAU POPOTE ULIPO TUMA PICHA NA HABARI KWA E-mail:  antonysiame74@yahoo.com

Sunday, June 5, 2011

Stars chini ya Umri wa miaka 23 yawatungua Nigeria


Baadhi ya wachezaji wa timu ya Taifa chini ya Umri wa miaka 23 wakiwa wamembeba Kipa wa timu hiyo, Juma Abdul Seif baada ya kumalizika kwa mchezo wa dhidi ya Nigeria wa kufuzu kushiriki mashindano ya Olympiki kwa mwaka 2012 ]London Uingereza. Timu hizo zitarudiana baada ya wiki mbili jijini Lagos Nigeria

Ubao wa matangazo ukionyesha Tanzania 1 Nigeria 0 katika mchezo wa kuwania kufuzu kushiriki michezo ya Olympiki kwa mwaka 2012 London Uingereza


No comments:

Post a Comment