Baadhi ya wazazi wa watoto wanaosoma katika Shule ya Msingi Makuburi jijini, Dar es Salaam wakiwa wamezunguka vyoo vya Shule hiyo kushuhudia tukio lililolipotiwa kwamba kuna mwanafunzui alitumbukia kati ya vyoo vya Shule hiyo. Lakini baadaye ilisemekekana kwamba ni mwanafunzi mmoja aliyeenda kwa mwalimu kuripoti kwamba kuna baadhi ya masinki yamepasuka ndipo walimu walipoenda kuangalia ni namna gani yamepasuka ndipo habari zika zagaa mtaani kwamba mwanafunzi ametumbukia kitu ambacho si kweli
Haya ni baadhi ay matundu ya vyoo yaliyofumuliwa na wafanyakazi wa Kikosi cha Zimamoto ili kuhakikisha kama kulikuwa na mwanafunzi ametumbukia ndani
No comments:
Post a Comment