MDAU POPOTE ULIPO TUMA PICHA NA HABARI KWA E-mail:  antonysiame74@yahoo.com

Wednesday, June 15, 2011

Wanyange wanaowania Taji la Mrembo wa Vodacom Dar Inter College wakiwa katika maandalizi ya mwisho

Warembo watakaochuana katika shindano la kumtafuta Mrembo wa Vodacom, Dar Inter College litakalofanyika Juni 17 wiki hii kwenye Ukumbi wa Sunciro uliopo Sinza,Dar es Salaam wakiwa katika maadalizi ya mwisho.

No comments:

Post a Comment