Afisa Uhusiano wa Tigo Jackson Mmbando (kushoto) akimkabidhi mfano wa hundi ya shilingi milioni kumi mshindi wa promosheni ya Jipange Kimaisha bwana Noel Kapaya (kulia) jijini Dar es Salaam jana. Katikati ni afisa wa Tigo Pamela Shelukindo.
Afisa Uhusiano wa kampuni ya simu za mkononi ya Tigo Jackson Mmbando (kulia) akimkabidhi mmoja wa wshindi wa pikipiki aina ya TOYO yenye miguu mitatu katika promosheni ya Endesha pikipiki na Tigo bwana Lewis Mtoi
No comments:
Post a Comment