MDAU POPOTE ULIPO TUMA PICHA NA HABARI KWA E-mail:  antonysiame74@yahoo.com

Thursday, July 21, 2011

Katibu Mkuu Wizara ya Nishati na Madini David Jairo apewa likizo

Akitoa taarifa kwa waandishi wa habari mjini Dodoma, Katibu Mkuu Kiongozi, Philemon Luhanjo alisema kutokana na tuhuma zilizotolewa hivi karibuni Bungeni dhidi ya David Jairo tumelazimika kumpa likizo ya na uchunguzi wa siku kumi utaanza kesho chini ya Mdhibit na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali

No comments:

Post a Comment