Vurugu Bungeni kati ya wabunge wa Chadema na Mbunge wa Ludewa
wabunge wa chadema wakimnyonyeshewa vidole mbunge wa Ludewa Philpkunjombe nje ya Ukumbi wa Bunge baada ya kuwambia kwamba hawajatumia busara kutoka nje kutokana na Mbunge wa Nyamagana , Ezekia wenje kutolewa nje
No comments:
Post a Comment