MDAU POPOTE ULIPO TUMA PICHA NA HABARI KWA E-mail:  antonysiame74@yahoo.com

Sunday, December 4, 2011

Fally Ipupa alivyowapagaisha wanachama wa Club E

 Fall Ipupa pamoja na wanenguaji wake wakifanya vitu vyao katika Ukumbi wa Mlimani City Dar es Salaam
Ipupa akisakata lumba na mmoja wa mashabiki wake

 Fally Ipupa aikiwa msanii, Ali Kiba wakati wa hafla hiyo

No comments:

Post a Comment