Baadhi ya waathirika wakiwa wamelala kwenye Jengo la Klab ya Yanga
Daraja la muda baada ya lile la awali kubomplewa na Mafuriko
Babu akijaribu kupanga nguo lakini akiwa hajui wapi ata lala baada ya nyumba yake kubomolewa na Maji
wakijaribu kutoa vitu mablimabli ndani ya Nyumba zao zilizojaa maji
Hii sehemu ilikuwa ni Gereji na Sehemu ya kulaza magari, Magari yakionekana yakiwa yamezama katika tope eneo la Kigogo
Mmoja wa waathirika akiosha akiosha Chemri
Baadhi ya waathirika wa mafuriko wakiwa kambini katika Shule ya Msingi
No comments:
Post a Comment