Naibu katibu Mkuu wa Chama cha wananchi CUF, Julius Mtatiro akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam, kuhusu kuvuliwa uanachama Hamad Rashid
Hamad Rashid akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana alisema yeye anasubiri uamuzi wa Mahakama kwa pingamizi walilofungua kabla ya kikao cha Baraza Kuu la Uongozi la Chama hicho lililowavua uwanachama yeye na wenziye watatu
No comments:
Post a Comment