Ndani ya ukumbi wa Danken
Mmoja wa waandaji wa Women in Balance (Kitchen Party Gala), Dina Marios akiwawasilianna ili kuweka mambo sawa
Baadhi ya waalikwa wakiwa kwenye pozi la Picha
nami naweza kupiga piccha
Baadhi ya waalikwa wakisiliza maada zilizokuwa zinatolewa na Bi Chau
Dina Marios akielezea jambo kabla Bi Chau hajaanza kutoa maada zilizowagusa waalikwa na kuzifurahia
Bi Chau akitoa maada wakati wa Women in Balance, Kitchen Party Gala
Pia kulikuwa na Mziki, uliowafanya waalikwa kucheza kwa bidii zote baada ya kusikiliza maada
No comments:
Post a Comment